суббота, 28 апреля 2012 г.

Pambano la Floyd Mayweather na Cotto

Hakika katika pambano kubwa Duniani ni  pambano baina Floyd Mayweathet Jr na Miguel Cotto ambalo tunategemea kuliona May,5 mwaka huu 2012, nikubwa sana na linasubiriwa kwa hamu sana kwani wote hawa ni mabondia wenye uwezo Mkubwa mno.
Ingawa watu wengi wanapuuzia sana wanamdharau Miguel Cotto,lakini huyu ni bondia mkali sana ambae ameweza kuwachapa mabondia maarufu sana waliowai kutamba duniani kama vile Zab "Super"Judah,Margarito Antonia (bondia hatari sana),na pia kumshinda ata Shain Mosley.Pia katika sifa nyingine ambayo anayo nikumsumbua sana kwenye pambano kati yake na Manny Pacquaio.Nakubali sana kwamba watu wengi wanasubiria pambano baina ya Mayweather jr na Manny Pacquaio ambapo kuna siasa nyingi sana baina pande zote mbili,lakini hopely kutakua namakubaliano ivi karibuni,lakini kwa sasa watu wanasubiri pambano hili lawatu wakali hawa may 5 mwaka 2012